Pictures Za Utengenezaji Wa Video Ya Wimbo Wa ‘Yahaya’ Ya Lady Jaydee Behind The Scene

Hizi ni baadhi ya picha za nyuma ya pazia (behind the scene) ya video ya msanii Lady Jaydee ya wimbo wake unaotamba wa Yahaya. Katika nyimbo hiyo msanii wa bongo movies Dude ndio anaeshika nafasi ya huyo Yahaya