PICHA ZA AGNESS MASOGANGE AKIWA URAIANI BAADA YA KUACHIWA HURU

Picha  hizi  zinatosha  kuthibitisha  kwamba  Agness  Masogange  ambaye  siku  hizi  anajiita  Agness MATAKO yuko  huru  mtaani…..

Agness alikamatwa  na  madawa  ya  kulevya  nchini  Afrika  Kusini  na  vyombo  vya  habari  vya  nchi  hiyo  viliripoti  hivyo….

Mapema wiki  hii, taarifa  zilibadilishwa  na  kuripotiwa  kuwa  madawa  aliyokamatwa  nayo  si  ya  kulevya…

Hizi  ni  picha  zake  akiwa GYM…

Download App ya Umbea Mtupu Uweze kupata Umbea Kwenye simu Yako Buree Bofya Hapo Chini Download bannersidebar