Gigy Money Atapeliwa Mtandaoni

Gigy Money Atapeliwa Mtandaoni

681
0
SHARE

BAADA ya kuhakiwa akaunti yake Instagram, Msanii wa kuuza nyago kwenye Video Queen wa Bongo, Gift Stanford ‘Gigy Money’, ameendelea kutapeliwa na vijana  wataalamu wa mtandao ambao wanatengeneza akaunti zenye majina yake na kuvuta baadhi ya mikwanja kwa kutumia jina lake.

“Kuna account imefunguliwa eti ina jina la @gigy_pesa, hiyo account siyo yangu. Account yangu ni hii @gigy_money baada ya ku hack ile nyingine. Hiyo ya @gigy_pesa ni matapeli, kuwa nao mbali” alimaliza Gigy


Alichoandika Gigy mtandaoni

NO COMMENTS